UMOJA

UMOJA

Lengo kuu la umoja duniani nikuleta ushirikiano na msaada kati ya watu wanaoshirikiana

 Faida za umoja katika maisha ua mwanadam ni kama zifuatazo

1.kudumisha mapenzi kati ya watu

2.kufanya watu kufkia malengo kwa muda husika

3.kuondoa tofauti zilizopo kati ya watu

4.kudumisha amani

5.kuondoa migogoro baina ya watu wa jamii husika

Vilevile umoja ni nguzo kubwa katika kuhakikisha jamii inafikia malengo yake kwa usahihi

Jamii yoyote ambayo haina umoja ni ngumu sana kutimiza mahitaji yake na watu wake kwa wakati sahihi,  umoja ni nguzo iliyopelekea jamii nyingi duniani kuhakikisha uhuru wake na kuishi kwa matakwa yao. Hivyo ni vizuri kudumisha umoja

Enjoyed this article? Stay informed by joining our newsletter!

Comments

You must be logged in to post a comment.

About Author

Born in 18/06/1999 in Tanzania, now a university student at national institute of transport holding bachelor degree in procurement and logistic management